Download.it
Programu
Michezo
Android
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Suomi
Dansk
Norsk bokmål
Română
中文
Tiếng Việt
Programu ya deskitopu iliyoundwa kwa wanafunzi inakufanya uunde vipeperushi na michoro mingi ya kitaalamu
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Programu kutoka microsoft itasaidia kuweka barua Pepe orodha ya majina mail katika mpangilio kwenye kompyuta yako unaofanyika usiku wa giza na wa kutisha
Ni programu kwa shughuli za kiofisi kutoka Microsoft ambayo ndani yake kuna Word, Excel, PowerPoint, Outlook na OneNote
Leseni ya programu: Bila malipo
Inakupa mamia ya marekebisho ya vijidudu na maboresho kwa Microsofot inayopelekea utendaji kazi
Programu ya kuchakata maneno maalumu kwa ajili ya uchapaji wa taarifa fupi kama vile barua au taarifa ndefu kama vile vitabu
Programu maarufu ya uchakataji na uchapaji maneno inayofanya kazi kwenye vifaa vya aina na vinavyotumia mifumo endeshi mbalimbali ya kompyuta
Toleo la mwaka 2016 kutoka kwenye programu maarufu ya ofisi ya kampuni ya Microsoft ambayo ni maalumu kwa matumizi binafsi nyumbani au mashuleni
Programu ya bure kutoka Microsoft inayoboresha utendaji wa programu ya kiofisi toleo mwaka 2007 na kutibu matatizo mbalimbali ya hapo kabla
Programu ya kimahesabu na kihasibu kutoka Microsoft iliyosheheni fomula mbalimbali na hivyo kukuwezesha kuandaa mahesabu ya aina mbalimbali kwa urahisi zaidi
Programu ya kiofisi iliyosheheni nyenzo kadhaa zinazokuwezesha kuchapa maneno, kufanya shughuli za kimahesabu, kuandaa ripoti, mada na mambo mengine mbalimbali
Programu bora kwenye mazingira ya kiofisi inayokuwezesha kuziandaa na kuziweka mada zako kiweledi zaidi zikiwa hata katika mfumo wa picha zinazotembea
Programu kutoka Microsoft inayomwezesha mtumiaji kudizaini, kuhariri na kuprinti machapisho ya aina mbalimbali kama vile kadi, vipeperushi na kadhalika